WAZIRI WA KILIMO MHE. PROF ADOLF MKENDA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA KILIMO WA BURUNDI MHE. DKT RUREMA DEO-GUIDE

Waziri wa Kilimo Mhe. Prof Adolf Mkenda tarehe 19 Octoba 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mazingira, Kilimo na Uvuvi wa Burundi Mhe. Dkt Rurema Deo-Guide katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtaa wa Commune Mukaza kata ya Rohelo Mjini Bujumbura nchini Burundi akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe